Na mwandishi wetuYanga imeendelea kuimarisha mbio zake za kulitetea taji la Ligi Kuu NBC baada ya kuichapa Mashujaa FC bao 1-0 katika mechi ya li...
Category: Soka
Na mwandishi wetuKaimu kocha mkuu wa Simba SC, Juma Mgunda ameweka wazi kuwa hajakata tamaa ya kuwania taji la Ligi Kuu NBC msimu huu kwa kuwa ms...
Na mwandishi wetuBaada ya kuchapwa mabao 4-1 na Azam FC jana Ijumaa, kocha mkuu wa Namungo FC, Mwinyi Zahera amesema haumii na matokeo hayo kwani...
Na mwandishi wetuKocha mkuu wa Mashujaa FC, Mohamed Abdallah 'Baresi' amesema timu yake imepania kuonesha soka safi la kuwaburudisha wananchi wa ...
Na mwandishi wetuSimba imefanikiwa kunyakua pointi tatu baada ya kuinyuka Mtibwa Sugar mabao 2-0 katika mechi ya Ligi Kuu NBC iliyopigwa Ijumaa h...
Na mwandishi wetuVinara wa Ligi Kuu NBC, Yanga wamefanikiwa kukata tiketi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) baada ya kuitandika Tabora ...
Na mwandishi wetuKaimu kocha mkuu wa Simba, Juma Mgunda amesema sare ya mabao 2-2 waliyoipata jana Jumanne dhidi ya Namungo imewagusa na kuwaumiz...
Na mwandishi wetuKiungo wa Simba, Clatous Chama amefungiwa michezo mitatu na kutozwa faini ya Sh milioni moja kwa kosa la kumkanyaga makusudi Nic...
Na mwandishi wetuBodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imezipongeza timu za Ken Gold ya Mbeya na Pamba ya Mwanza kwa kufanikiwa kupanda daraja kutoka ...
Na mwandishi wetuShirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeifungia klabu ya Yanga kusajili wachezaji wa kim...